ZURA YASHIRIKI ZIARA YA NAIBU WAZIRI WMNM PEMBA

Watendaji wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) wameshiriki ziara ya kusikiliza changamoto na malalamiko juu ya upatikanaji wa huduma ya Maji na Umeme kisiwani Pemba. Mamlaka imeshiriki ziara hiyo kuanzia Alhamis ya Tarehe 28/03/2024 hadi Jumatatu Tarehe 01/04/2024 iliyoongozwa na Naibu Waziri wa Maji,…

ZURA YASHIRIKI MAONESHO YA MARASHI YA KARAFUU PEMBA

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imeshiriki katika Maonesho ya Marashi ya Karafuu ya Wajasiriamali wa Kisiwa cha Pemba. Maonesho hayo yanayofanyika Gombani Pemba kuanzia Tarehe 23/02/2024 mpaka Tarehe 25/02/2024 yamefunguliwa na Mkuu wa Mkoa wa Kusimi Pemba Mhe. Mattar Zahor Massoud. Mamlaka imeshiriki katika…

ZURA YASHIRIKI MAONESHO YA KUMI YA BIASHARA

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati imeshiriki maonesho ya kumi ya biashara yanayofanyika Nyamanzi Zanzibar kuanzia Tarehe 07/01/2024 mpaka Tarehe 19/01/2024. Ushiriki katika Maonesho hayo Mamlaka itapata fursa ya kutoa elimu kwa wadau wake wote watakaotembelea katika banda la Mamlaka. Aidha, pamoja na elimu inayotolewa kwa wananchi…

ZURA YAFANYA KIKAO KIFUPI NA ZBC KUIMARISHA USHIRIKIANO BAINA YAO.

Mkurugenzi Mkuu ZURA Ndg. Omar Ali Yussuf pamoja na watendaji wake wa Kitengo cha Uhusiano amefanya Kikao kifupi na Mkurugenzi Mkuu wa ZBC Ndg. Ramadhan Bukini akiambatana na watendaji wake. Lengo la kikao hicho ni kujadili kwa pamoja namna ya kuimarisha ushirikiano uliopo baina ya Taasisi hizo mbili ili kuchochea…

ZURA YASHIRIKI TAMASHA LA UTALII PEMBA

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imeshiriki katika Tamasha la Utalii Pemba lilofunguliwa na Mgeni Raismi Mwenyekiti wa Bodi wa Kamisheni ya Utalii Ndg. Ibrahim Baloo. Tamasha hilo limefunguliwa leo Tumbe Tarehe 28/11/2023 litakaloendelea mpaka Tarehe 03/11/2023. Tamasha hilo limekusanya shughuli za kiutamaduni na michezo…

ZURA YASHIRIKI KATIKA WARSHA YA WADAU WA NISHATI.

Mamlaka ya Udhibiti Huduma Za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imeshiriki warsha ya wadau wa maendeleo katika sekta ya nishati kupitia Mradi wa Mabadiliko ya sekta ya nishati na ufikiwaji wa Huduma ya Umeme Zanzibar (ZESTA) uliopo chini ya Udhamini na Benki kuu ya Dunia Chini ya Usimamizi wa Wizara…