ZURA yatangaza bei mpya za mafuta

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imetangaza bei mpya za mafuta kwa mwezi Machi, 2023 kama ifuatavo: Petroli – Tsh2,880 Dizeli – Tsh2,980 Mafuta ya Taa – Tsh2,921 Mafuta ya ndege – Tsh2,681