ZURA yatangaza bei mpya za mafuta

ZURA yatangaza bei mpya za mafuta

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imetangaza bei mpya za mafuta kwa mwezi Machi, 2023 kama ifuatavo:

Petroli – Tsh2,880

Dizeli – Tsh2,980

Mafuta ya Taa – Tsh2,921

Mafuta ya ndege – Tsh2,681