Bodi ya Wakurugenzi ZURA imefanya ziara kisiwani Pemba

Bodi ya Wakurugenzi ZURA imefanya ziara kisiwani Pemba

Bodi ya Wkurugenzi ZURA imefanya Ziara ya kutembelea Miundombinu ya huduma Zinazodhbitiwa na Mmamlaka ikiwemo miundombinu ya umeme wa jua, mindombinu ya maji na miundombinu ya  mafuta.