ZURA imefanya ukaguzi wa miundombinu ya Umeme Pemba

ZURA imefanya ukaguzi wa miundombinu ya Umeme Pemba

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imefanya ukaguzi wa miundombini ya umeme Visiwani Pemba ikiwemo katika visiwa vya Kojani na Kisiwa Panza.