ZURA YAKUTANA NA PBZ

ZURA YAKUTANA NA PBZ

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imefanya kikao kifupi na Bank ya Watu wa Zanzibar (PBZ) lengo ni kuimarisha ushirikiano baina yao.

Aidha kikao hicho kilifanyika maisara ZURA Leo tarehe 08/08/2023.