Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imeshiriki Mimkutano Mkuu wa 15 wa Mwaka wa Jumuiya ya Wadhibiti wa Nishati Afrika Mashariki (EREA).
Mkutano huo ulifanyika kuanzia Tarehe 06 mpaka 13 Julai 2023, katika Hoteli ya Mount Meru Arusha, Tanzania Tarehe 13 Julai 2023.