UKAGUZI WA UBORA WA MAJI KUSINI Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati, Zanzibar imefanya ukaguzi wa ubora wa maji maeneo ya Kusini Unguja Kibele, Michamvi, Paje, Bwejuu, Jambiani, Muyuni, Makunduchi na Kizimkazi.