https://www.zura.go.tz/wp-content/uploads/2022/03/Bei-Mwezi-Machi.jpg
Zanzibar Utilities Regulatory Authority (ZURA) announced the new Petroleum product prices for the Month of March which will be in effect officially from Wednesday 09th of March 2022
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati (ZURA) Imetangaza Bei Mpya za Bidhaa za Mafuta zitakazo anza kutumika rasmi kuanzia Siku ya Jumatano Tarehe 09/03/2022