Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati (ZURA) imefanya kikao cha pamoja na wadau wa mafuta kujadili mipango na mikakati ya Sekta hiyo kuelekea mwaka mpya wa fedha 2021-2022.