Kikao cha pamoja na wadau wanaohusika na ujenzi wa vituo vya Mafuta Zanzibar

Kikao cha pamoja na wadau wanaohusika na ujenzi wa vituo vya Mafuta Zanzibar

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imefanya kikao cha pamoja na wadau wanaohusika na ujenzi wa vituo vya Mafuta Zanzibar.
Mkutano huo umezungumzia changamoto na mikakati iliyowekwa na Wadau hao ili kusimamia Usalama, Afya na Mazingira ya ujenzi wa vituo hivyo pamoja na watumiaji wake.
Mkutano huo umehusisha Mamlaka ya Udhibiti wa huduma za Maji na Nishati Zanziabar (ZURA), Mamlaka ya Usimamizi wa Mazingira (ZEMA), Tawala za Mikoa na Idara maalum za SMZ , Bodi ya Wakandarasi (ZBA), Kikosi cha zima moto na Uokozi (KZU), Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO), Mamlaka ya huduma za maji Zanzibar (ZAWA) na Mipango Miji.
667
People Reached
102
Engagements
Boost Post
22
5 Comments
Like

Comment
Share