Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imetangaza Bei mpya za Mafuta zitakazoanza kutumika rasmi kuanzia Jumapili Tarehe 11/10/2020.
Zanzibar Utilities Regulatory Authority (ZURA) has announced the New Petroleum Prices which will be in effect officially from Sunday 11th October 2020