MIAKA 55 YA MAPINDUZI ZANZIBAR Bodi ya Wakurugenzi na Uongozi wa ZURA unaungana na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuadhimisha Miaka 55 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.