Uongozi na Wafanyakazi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) walishiriki katika Sherehe za Uwekaji wa Jiwe la msingi katika Eneo la Uwekezaji wa Mafuta na GesiBumbwiniMisufini, Zanzibar.Jiwehilo la Msingililiwekwa na Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru KitaifaNd. Amour Hamad Amour Tarehe 07/10/2017.
[supsystic-gallery id=6 position=center]