EREA TRAINING AND VISIT 25th – 27th September 2017

EREA TRAINING AND VISIT 25th – 27th September 2017

Zanzibar Utilities Regulatory Authority (ZURA) hosted members of the Energy Regulators Association of East Africa (EREA) from 25th to 27th September, 2017. The Members of EREA held Portfolio Committee meetings on Technical, Legal and Economic issues concerning regulations at Maru MaruHotel, Located in Stone Town, Zanzibar, and a site visit to the Electricity Sub station in Fumba had taken place.

Mamlaka ya Udhibitiwa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar ilipokeaUgeni waWajumbekutokaJumuiya ya Wadhibiti waNishati AfrikaMashariki (EREA) kuanziaTarehe 25 hadi 27 Septemba, 2017. WajumbehaowalifanyaVikao vya Kamati ya Ufundi, Sheriana Uchumikuhusumasuala ya Udhibitikatika Hoteli ya Maru MaruIliyopoMjiMkongwe, Zanzibar, na kutembeleaKituo cha kupokelea Umeme Fumba.

[supsystic-gallery id=5 position=center]