CORPORATE SOCIAL RESPONSIBILITIES (CSR) 19th August 2017 Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar ilishirilki na kuchangia katika Ujenzi wa skuli ya Msingi ya Uzi Ng’ambwa, katika jimbo la Tunguu.