BPS TENDER 30th September 2017

BPS TENDER 30th September 2017

Zanzibar Utilities Regulatory Authority (ZURA) hosted theopening of the second Tender of Petroleum Bulk Procurement for the Month of November and December 2017 on Saturday 30th September 2017 at Ocean View Hotel, Kilimani,Zanzibar.Four Companies opened their Tenders and the winner being announced as Augusta Energy SA, of Switzerland.

Augusta Energy SA was founded in 2010, it is an International Organization that provides access to the lowest prices in international markets for petroleum products.

 

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) ilifunguaZabuni ya pili ya Mfumo wa uingizaji mafuta kwa Pamojakwaajili ya Mwezi November na Disemba 2017 siku ya Jumamosi ya Tarehe 30/09/2017 katika Hoteli ya Ocean View iliyopoKilimani, Zanzibar. Kampuninneziliwezakufunguazabunizao na baadaeMshindialitangazwakuwani Augusta Energy SA ya Switzerland.

Augusta Energy SA ilianzishwa mwaka 2010. Augusts ni Kmpuni ya Kimataifa inayotoa Huduma za Mafuta kwa bei nafuu katika  Soko la Dunia.

[supsystic-gallery id=4 position=center]